Tuesday, December 22, 2015

Kilimo cha NYANYA

Kilimo cha zao la nyanya ,nyanya ni  mmea jamii ya tunda,linalolimwa nchini Tanzania na dunianiani kwa ujumla ndani ya nchi yetu nyanya inalimwa katika mikoa ya iringa ,Morogoro, dodoma, Pwani ,njombe ,mbeya ,arusha ,kilimanjaro .n.k. mmea huu husitawi kwa wingi hasa maeneo yenye ukanda wa joto kuliko ukanda wa baridi sana. Nyanya  kama tunda hutumika katika matumizi mbali mbali ikiwemo  1.majumbani km kiungo 2. viwandani kutengenezea chill sauce na tomatoes  3.hoteli...

Ufugaji wa kisasa wa samaki: Utaalamu na Masoko

Tujifunze kuhusu ufugaji wa samaki wa kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vitu vingine vinavofanana na hivyo. Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi ambao wanaweza kufugika kwa urahisi au ugumu kidogo tu na aina hizo wapo wale ambao sio wa kuzaliana(monosexual) na wale wa kuzaliana(heterosexual) Urahisi hapa uko zaidi kwenye kuwafuga wasiozaliana sababu hawaongezeki wakati wale wanaozaliana utakuwa na utaratibu wa kuhamisha fishling(vifaranga) sehemu nyingine. Rasilimali...

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande YA KUGANDISHA

Utengenezaji wa sabuni hii una njia nyingi Hatua  ya kwanza Chemsha vipimo 7 vya mafuta ya mawese au mafuta ya shea hadi ifikie hatua ya kimiminika chuja na yaweke kwenye chungu cha mfinyanzi au chombo cha plastiki. Hatua ya pili Pima vipimo 5 vya maji baridi kwenye chombo cha plastiki ongeza kipimo 1cha sodium hydroxide kwa uangalifu mkubwa kwenye maji acha hadi mchanganyiko huo uyeyuke. Subiri mchanganyiko wa sodium hydroxide na mafuta ukaribie kupoa. Hatua ya tatu Taratibu ongeza mchanganyiko wa sodium hydroxide kwenye mawese,huku...

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Matikiti maji aina ya  Sugar baby inachukua siku 60 tu kuvuna ukiongeza na  siku 3-5 za kukaa ardhini, zao hili unaweza kulima mara  4  mwaka. Mfano ukiwa na  ekari 5  kila eka moja inaweza kukuingizia Milioni 2 hadi 3. Mambo muhimu Nafasi inayotakiwa  ni 2mm toka mmea mmoja kwenda mwingine Kila shimo unaweza weka mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2 hadi 3  Kila shimo unaweza kupata matunda 4 hadi 6 ( wastani matunda 5). Kwa ukubwa  wa ekari 5...

Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako? Ujuzi...

Site Search