Matikiti maji aina ya Sugar baby inachukua siku 60 tu kuvuna ukiongeza na siku 3-5 za kukaa ardhini, zao hili unaweza kulima mara 4 mwaka. Mfano ukiwa na ekari 5 kila eka moja inaweza kukuingizia Milioni 2 hadi 3.
Mambo muhimu
- Nafasi inayotakiwa ni 2mm toka mmea mmoja kwenda mwingine
- Kila shimo unaweza weka mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2 hadi 3
- Kila shimo unaweza kupata matunda 4 hadi 6 ( wastani matunda 5).
- Kwa ukubwa wa ekari 5 unaweza kuwa na mashimo 1000 hadi 1200
- Idadi ya matunda: Mashimo x Matunda kwa shimo x ekari (1,000 x 5 x 5 = 25,000)
- Mapato: wastani wa shilingi 500 kwa tikiti x idadi ya matikiti kwa eneo la ekari 5 (25,000 x 500 = 12,500,000)
- Mapato kwa mwaka: 12,500,000 x 4= 50,000,000
- Gharama za uendeshaji wa shamba ni Tsh 25,000,000
- Faida Kuu ni Tshs 25,000,000 Milioni.
Kwa hisani ya Darasa huru
0 comments:
Post a Comment